QS. Al-Ahzab [33:1]

Vikosi Vilivyojumuishwa

يٰٓاَيُّهَاالنَّبِيُّاتَّقِاللّٰهَوَلَاتُطِعِالْكٰفِرِيْنَوَالْمُنٰفِقِيْنَاِنَّاللّٰهَكَانَعَلِيْمًاحَكِيْمًا١

yaa‑ayyuhaa alnnabiyyu ittaqi allaaha walaa tuthi'i alkaafiriina waalmunaafiqiina inna allaaha kaana 'aliiman hakiimaan

Ewe Nabii! Mche Mwenyezi Mungu wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima. [1]

— Ali Muhsin Al-Barwani

Shiriki via WhatsappShiriki via FacebookShiriki via Twitter